Shilole kuchora Tattoo ya Nuh Mziwanda kalioni

Shilole kuchora Tattoo ya Nuh Mziwanda kalioni

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Hivi karibuni Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa mapenzi yao yanazidi kushamiri. Kama vile haitoshi Shishi bado ana mpango wa kuongeza mchoro mwingine kwenye sehemu za siri.

Akizungumza na Global Publishers, Staa huyo wa mduara, Shishi amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake, Nuh kwenye moja ya kalio lake ikiwa ni njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwake.

“Mimi bado tattoo moja ya muhimu sana ambayo nataka kuchora kwenye kalio ili kuonyesha ni jinsi gani nampenda mpenzi wangu Nuh,” alisema Shilole.

Nuh Mziwanda ndiye aliyekuwa wa kwanza kuchora tattoo zenye majina ya Shilole kwenye mwili wake, kitendo kilichomshawishi mpenzi wake Shishi naye kuchora.

SOURCE: Bongo5

Support yenu inahitajika wadau, kuna vitu wasanii wetu wanalazimika kufanya kuchukuwa attention yetu tu, maana tunawapa visogo sana..
 
Last edited by a moderator:
Huyu hakuwai kuwa mzima wa kichwa...si shangai
 
Kazi kuiga mambo ya watu wa mbele tu money yenyewe hamna njaa tu ni shida sn,nyumba zenyewe munazoish za kupanga munaacha kwenda kununua viwanja mkulanga!
 
Wazazi wake wangejua angefanya haya hakika wasingemzaaa kamwe
 
Shishi baby kama kawa tutaiona kwenye shoo zako
 
Safi sana Shishi mimi nakukubali kinyama, ila ukinipa sikuachi daaaaahhh. Ngoja dogo Nuhu aendelee kufaidi vya maungoni sie twafaidi Mauno na Sauti. Tunakungoja kwa sana utoke Kifungoni.
 
Safi sana Shishi mimi nakukubali kinyama, ila ukinipa sikuachi daaaaahhh. Ngoja dogo Nuhu aendelee kufaidi vya maungoni sie twafaidi Mauno na Sauti. Tunakungoja kwa sana utoke Kifungoni.

anapiga show za ccm sahv
 
Back
Top Bottom