Shilole kuchora Tattoo ya Nuh Mziwanda kalioni

Bila shaka atatuonyesha kudhibitisha maneno yake.
 
Samahani nuh anajua kuchora kweli? Au an agenda kuchora kwa fundi?
 
akimaliza kuchorwa aje hapa atuoneshe picha jinsi ilivyo pendeza.

Mbombo ngafu. kweli watanzania tuna IQ ndogo
 
Kachora tako la upande wa kushoto nilikuwa nae juzi
 
Huyu anatakiwa apewe kifungo kama cha Juma Nyosso ndiyo atajibadilisha maadili yatakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…