Shilole kukataliwa ukweni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva , Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Baadhi ya wanandugu hao ( majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

"Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na Shilole ambaye hawaendani kiumri ," alidai mmoja wa ndugu hao.

Alipotafutwa Shilole ili kufikishiwa ujumbe wa ndugu hao kwamba hawamtaki , simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
 
Mi ningekuwa mzazi maamuzi namwachia tu mwanangu ili mradi kafikisha umri wa kuoa na ni mtu mzima akafie mbele huko yeye mwenyewe
 
Wakaache kale katoto kapewe twisheni na waliokubuhu hao watoto wenzie watamsumbua kwanza ni sunna kuona aliekuzidi umri.
 
shilole malaya sana dogo kabugi,anafikia steji anajiuza kabisa achlia mbali kashakua mtumba baada ya kuzalishwa na njemba flani,dogo ni handsome boy atafute size yake
 
wanasema nirudi Igunga maisha yashanishinda....shiloooole shishi beeeeeibi..haha maisha yapo kasi jamani
 
Kwani Kamzaa?

Dah maskin shilole kapelekwa had ukweni wakwe wamechomoa, aibuje? Ila ni kawaida kwa familia zenye maadili isingeweza kumkubali mwanamke kama shilole, yani ukataji mauno vile hadharan na style ya maisha yake sio mwanamke wa kuolewa japokuwa ndo kazi yake
 
Mi ningekuwa mzazi maamuzi namwachia tu mwanangu ili mradi kafikisha umri wa kuoa na ni mtu mzima akafie mbele huko yeye mwenyewe


mkuu, ...ungekuwa mzazi...?!! subiri utakapokuwa kisha mwanao aangukie kwa malaya kama shilole ndipo utajua raha au maumivu yake. Ndoa si mapenzi tu na si matamanio ya mwili tu.....it is a living organism. Leo ataona shilole anafaa kuwa mkewe, baada ya muda akashamzoea ndipo ataona shilole ni kizee na ndipo vurugu zitaanza.
 
Tunasema tu hapa maana hayajatukuta ila kwa wazazi sio rahisi kumkubalia mtoto wao amuoe shilole kwanza kwa tabia zake.Hata ndo angekuwa ndugu yangu kiukweli ningekataa
 
Tunasema tu hapa maana hayajatukuta ila kwa wazazi sio rahisi kumkubalia mtoto wao amuoe shilole kwanza kwa tabia zake.Hata ndo angekuwa ndugu yangu kiukweli ningekataa

Shilole mwenyewe hamnazo, si alisemaga huyu mwanaume yeyote akimtaka aende ila awe na condom tu bila hivyo hawampati, sass kuna mke apo? Na anavyopenda dogo dogo sasa mmh , anatia huruma kaenda ukweni na mbwembwe mwenyew wakwe wamempa vya mbavu
 
Shilole mbona bado kisichana sana, teenage na bikira yake, au mnamuongelea Shilole yupi?
 
Huyo dogo atakuja kuliaaa mpaka basiiii
 
huyu dogo akachukue twisheni kwa mume wa dida atateseka mpaka atasema hiki nini!!!! kama mtu anaimba kabisa nyimbo za kuchuna mabuzi!!!
 
Si haramu nzi kufia kwenye kidonda...kama dogo ana zaidi ya miaka kumi na nane aachwe afuate moyo wake jamani.

Kipendacho roho hula nyama mbichi...na mtoto akililia wembe mpeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…