Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506



Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
 

Ni mimi tu au nyonyo zake kwenye hiyo picha zinaonekana kubwa kuliko zilivyo?

Boob job au Wonderbra?
 
Mda wao wa kuspendi ulisha isha nadhani! awaachie wadogo zake kina tunda
 
She is actually right.....Au katika bongo fleva nani mtamfananisha na Badgalshishi............Huyu mtoto mtam sana
 
Mkuu mbona humtendei haki Giggy, yaani alinganishwe na Shilole!

Sema tu Giggy dish limekaa tenge, ila kitaa anahusika sana.
Teh teh...Shilole afadhali bana.. giggy tako linambeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…