Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Kwen Kwendraaaaaaaaa
 
sasa wote mnabisha afu hamtaji hata mwanamziki ambaye mnaisi kamzidi, mi naona ni kweli yeye ndo kisu kuliko madem wote wanamuziki, anaepinga athibitishe kwa kumtaja aliemzur kuliko shishi ktka wanamuziktress(yan wanawake)
 
Ni mimi tu au nyonyo zake kwenye hiyo picha zinaonekana kubwa kuliko zilivyo?

Boob job au Wonderbra?
Pambaf.
 
Hebu niwaulize, hizo nywele kwenye picha hii ni zake kweli?
 
Usijitangazie uzuri kwa biniadamu kama wewe, mshukuru mola wako, kabla hujafa ujaumbika.
 
hapa ndo point of interaction ingeanzia, tu-mention/list wanawake warembo kwenye ubongo wa fleiva then tu compare na shishi baby. ndo tutapata the right answer.

Ruby
Lina
Chura
Jay dee
Mwasiti
V mapesa
Ms Nevykenzo

List continues...
 
sasa wote mnabisha afu hamtaji hata mwanamziki ambaye mnaisi kamzidi, mi naona ni kweli yeye ndo kisu kuliko madem wote wanamuziki, anaepinga athibitishe kwa kumtaja aliemzur kuliko shishi ktka wanamuziktress(yan wanawake)
Mm mwenyewe nawashangaa mtajeni alie mzidi mimi naona ni kweli halafu labda vanesa mdee anakua no 2
 
Bahati mbaya hii mitandao ilishaonesha akiwa igunga enzi hizo, si mweupe, ni maji ya kunde ila sasa anatumia mkorogo.
 
Teh teh...Shilole afadhali bana.. giggy tako linambeba
Hivi yule giddy ni mchaga? Kilichombeba ni umri, sio tako, akifika 30s lile tako litanyauka, maana anaonekana kama wale wachaga fulani.
 
Mm mwenyewe nawashangaa mtajeni alie mzidi mimi naona ni kweli halafu labda vanesa mdee anakua no 2
Mdee hamna kitu kwangu, huyu dada kwangu sijawahi muona ana mvuto ingawa analazimisha kuwa na mvuto.
Yaani afadhari shilole nikimuona huwa naona mapaja ya kiafrika yenye kunyegeresha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…