Shilole: Mwanaume bila pesa ni kama sanamu

Pesa zote zakula anazitoa Kwa wanaume hivyo atambue kuwa bila mwanaume yeye hayupo,
 
Hata iweje mwanaume hawezi shuka thamani atabaki kuwa dume la mbegu,mwanamke yupo kwa ajili yakutumiwa na mwanaume ni utukufu wa Mungu
 

Kweli mkuu
 
Kweli. Ni shiiiida!!!
 
Ni mawazo na maoni yake... Pesa haijaanza kuhitajika leo... Toka zama hizo pesa imekuwa na umuhimu, mpaka leo na kesho...



Cc: mahondaw
 
Anadhani pesa za wenzie matumizi yamehamia chini wote?? Yeye kipaumbele chake ni kutumia hicho chombo kama kitega uchumi,lakini si kweli kwamba wanaume wote pesa zao ni kugharamia hiyo mambo. Afikiri upya.Nonsense kabisa
 
Kwa masengenyo hayo ndio maana machalii na maandaground wakizipata breki ya kwanza kwenu,halafu mnaanza kulalamika oooh mnatutumia kama toilet paper!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…