Shilole na Vi-ben 10 Sasa basi

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786


Msanii wa Bongoflavour Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, mambo ya mapenzi ameyaweka kando hivyo watu aliokuwa akitembea nao ‘vi-ben ten’ sasa basi.

Shilole alisema kuwa, akiyaweka mapenzi mbele mara nyingi hayamzalishii matunda yoyote lakini akikazana katika kazi inamletea mafanikio makubwa.

“Jamani kwa usawa huu mtu usipobadilika na kuangalia kitu cha maana ni shida sana, mimi mambo ya mapenzi sijui vi-ben tena sasa hivi yanisubirie kwanza, nifanye kazi zangu ili nipate maendeleo sio mapenzi wanafaidi mashabiki wa Instagram kukuangalia maisha yako,” alisema Shilole.
 
UKIONA MANENO KAMA HAYA YANAMTOKA MTU MZIMA KAMA SHILOLE BASI KUNA TATIZO MAHALI.TATIZO ALIZIDI KUVIPIGA HIVYO VI BEN10
 
UKIONA MANENO KAMA HAYA YANAMTOKA MTU MZIMA KAMA SHILOLE BASI KUNA TATIZO MAHALI.TATIZO ALIZIDI KUVIPIGA HIVYO VI BEN10
Alikuwa anavyo vingi chini ya carpet licha ya hawa wanaojulikana JIKESHUPA
 
Anawapenda sana mafundi bito huyo!inasemekana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…