Mi nilimuona mda kupitia shilawadu so hata picha sina but she was real cute..!Picha yake
Khaaa basi hii haijakaa poa kabisa.Mi nilijua walewale kina jikeshupaAlikuwa anavyo vingi chini ya carpet licha ya hawa wanaojulikana JIKESHUPA
Vichwa 700,000Ameacha ngono zembe eh, hongera zake. Ila millage sijui itakuwa inasoma ngapi hadi sasa.
Umeulizia kwa kasi,au umechungulia fursa?Unamaanisha ameachana na Uchebe?
Hahaa nna aleji mimi na viben tenUmeulizia kwa kasi,au umechungulia fursa?
Hi ahjuma..Unamaanisha ameachana na Uchebe?
Boraa aache tupone ngomaView attachment 618175
Msanii wa Bongoflavour Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, mambo ya mapenzi ameyaweka kando hivyo watu aliokuwa akitembea nao ‘vi-ben ten’ sasa basi.
Shilole alisema kuwa, akiyaweka mapenzi mbele mara nyingi hayamzalishii matunda yoyote lakini akikazana katika kazi inamletea mafanikio makubwa.
“Jamani kwa usawa huu mtu usipobadilika na kuangalia kitu cha maana ni shida sana, mimi mambo ya mapenzi sijui vi-ben tena sasa hivi yanisubirie kwanza, nifanye kazi zangu ili nipate maendeleo sio mapenzi wanafaidi mashabiki wa Instagram kukuangalia maisha yako,” alisema Shilole.
071[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] 9999999999888888999ⁿ00000000Ameacha ngono zembe eh, hongera zake. Ila millage sijui itakuwa inasoma ngapi hadi sasa.
Kwani wewe hutak cha kutetemekea bila kukuwekea mipaka?Hahaa nna aleji mimi na viben ten
Sitaki mimiKwani wewe hutak cha kutetemekea bila kukuwekea mipaka?
Hongera mkuuSitaki mimi
Hongera ya nini sasaHongera mkuu
Kutohitaji vi ben 10Hongera ya nini sasa
Anyeong[emoji113]Hi ahjuma..
071[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] 9999999999888888999ⁿ00000000
Kwa mwaka kawaida 348 yeye inawezekana amezidishaAmeacha ngono zembe eh, hongera zake. Ila millage sijui itakuwa inasoma ngapi hadi sasa.