SHILOLE: Nikiandikwa Vibaya Magazetini Wanangu wananisema

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MSANII wa filamu na muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kila akiandikwa kwa skendo mbaya, wanaye humsema na kumwambia hawataki kumuona akifanya hivyo tena.

Akistorisha na gazeti hili, Shilole kutokana na mkwara huo anaoupata kutoka kwa wanaye, Joyce na Rahma, amekuwa akijitahidi kuepukana na skendo mbaya ili asiwakwaze mara kwa mara.

“Ninawapenda sana wanangu na huwa wananisema sana hata kwa staili ninazocheza jukwaani ndiyo kazi inayoniwezesha kuwalea hivyo haina budi kunivumilia,” alisema Shilole.
 
Anapoachia mbunye wazi jukwaani anawaambiaje wanae??
 
huyu naye bana...kutoka kuuza ubwabwa mpaka kuimba basi ananiona katoka katoka kweli..mbona ulivokuwa unauza ubwabwa masenze sokoni na kujaza mibwana ndani kwako kila dakika walikuwa hawasemi?mxxxx
 
Huyu dada si mzima lazima ni mgonjwa.Juzi kaweka picha ya khanga moko au hiyo wanae hajaiona?
 
Haya na la kupata shoga hawajamuambiaa
 
There is something very wrong with this gal, she is living in the world of imagination,. yani kwenye ulimwengu wake wa kufikirika anajiona kuwa yeye ni mtu muhimu sana, mzuri sana maarufu sana mwenye akili sana mwenye kipaji hasa, mtu anayehitaji atention ya watu hata kama akij..mba
 
MSANII wa filamu na muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kila akiandikwa kwa skendo mbaya, wanaye humsema na kumwambia hawataki kumuona akifanya hivyo tena.

Akistorisha na gazeti hili, Shilole kutokana na mkwara huo anaoupata kutoka kwa wanaye, Joyce na Rahma, amekuwa akijitahidi kuepukana na skendo mbaya ili asiwakwaze mara kwa mara.

“Ninawapenda sana wanangu na huwa wananisema sana hata kwa staili ninazocheza jukwaani ndiyo kazi inayoniwezesha kuwalea hivyo haina budi kunivumilia,” alisema Shilole.
baba wa hao watoto naona wanajuuuuta kuzaa na huyu binti
 
Alizaa akiwa na miaka 10 au12 nakumbuka alisema hivo alipoojiwa.

Hao watoto hawana baba mkuu. Uyo mtoto wa kwanza anadai alibakwa.

Wa pili hakuwa amemsema adi magazet ya udaku yalipoibua habari kwamba ana mtoto mwingine amemficha.

Ndio akakiri kuwa na watoto 2
 
Nadhani Shilole amepitia maisha ambayo ni magumu na ambayo ni kitendawili kwa mtu mwingine wa mazingira yale kuwaza kuja 'kutoka'.....
Kufika mpaka alipofika mpaka watu wakamuongelea hapa ni Safari ndefu kwake kwakweli....
Sina uhakika na music wake na sijaona ulazima wa yeye kucheza 'vile' kwenye stage lakin as the saying goes...Kazi Ni Kazi.....
Ila nina uhakika wa kitu kimoja..kama akisoma na akapata training bora basi atakuja kuwa muigizaji mzuri sana....(Refer to the BarMaid-Movie)
Anachohitaji sasa ni washauri wazuri ambao watamfanya awe mfano mzuri wa kuigwa...sababu kwa historia yake anaweza kuwa a good inspiration story kwa wadada zetu wa Uswahilini ambao hawana Hope yoyote.....
 
Mmmmh ivi uyu dada ashawahi kushikirikisha ubongo wake kwl ss hii pic pekee ake upuuzi then hataki aandikwe yaani uyu akiwa dada ako inabidi ufiche uhusiano wenu maana aibu km unajiheshimu kwl.
 
Wasanii wengine ata hawajielewi.. Sasa hapo ongezea ma Masogange au Snura mbona shidaaah?
 
alipocheza nusu uchi viesta watoto wake walimwambia nini?
 
Na zile picha za Sout Africa hazikuwahuzunisha watoto wake nadhani.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kwani shilole ndio nani?

Waziri wa mambo ya nje wa marekani aliyekuwa msaidizi wa gadaffi akitokea iraq alipokuwa mkuu wa majeshi kwa muda kabla ajakimbilia al shababu alipokuwa anaogoza kikosi cha westgatez mall pale kenya anajilikana kama black widow anatafutwa na dunia nzima kwa sasa ukimuona karipoti ubalozi wa marekani na kenya.........
 
Nadhani Shilole amepitia maisha ambayo ni magumu na ambayo ni kitendawili kwa mtu mwingine wa mazingira yale kuwaza kuja 'kutoka'.....
Kufika mpaka alipofika mpaka watu wakamuongelea hapa ni Safari ndefu kwake kwakweli....
Sina uhakika na music wake na sijaona ulazima wa yeye kucheza 'vile' kwenye stage lakin as the saying goes...Kazi Ni Kazi.....
Ila nina uhakika wa kitu kimoja..kama akisoma na akapata training bora basi atakuja kuwa muigizaji mzuri sana....(Refer to the BarMaid-Movie)
Anachohitaji sasa ni washauri wazuri ambao watamfanya awe mfano mzuri wa kuigwa...sababu kwa historia yake anaweza kuwa a good inspiration story kwa wadada zetu wa Uswahilini ambao hawana Hope yoyote.....

Amina! Bonge la Point! Shilole Mtoto wa Uswaz mpaka kumiliki Hammer
 
Ok, kwa hiyo shida ni magazeti lakini mitandaoni poa......basi nyie magazeti mumuache mdada wa watu, wanae wanamsema.....wacha sio wa mitandaoni only ndio tufaudu....
 
Back
Top Bottom