Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
baba wa hao watoto naona wanajuuuuta kuzaa na huyu bintiMSANII wa filamu na muziki, Zuwena Mohamed Shilole amefunguka kuwa kila akiandikwa kwa skendo mbaya, wanaye humsema na kumwambia hawataki kumuona akifanya hivyo tena.
Akistorisha na gazeti hili, Shilole kutokana na mkwara huo anaoupata kutoka kwa wanaye, Joyce na Rahma, amekuwa akijitahidi kuepukana na skendo mbaya ili asiwakwaze mara kwa mara.
Ninawapenda sana wanangu na huwa wananisema sana hata kwa staili ninazocheza jukwaani ndiyo kazi inayoniwezesha kuwalea hivyo haina budi kunivumilia, alisema Shilole.
baba wa hao watoto naona wanajuuuuta kuzaa na huyu binti
Mmmmh ivi uyu dada ashawahi kushikirikisha ubongo wake kwl ss hii pic pekee ake upuuzi then hataki aandikwe yaani uyu akiwa dada ako inabidi ufiche uhusiano wenu maana aibu km unajiheshimu kwl.
Wasanii wengine ata hawajielewi.. Sasa hapo ongezea ma Masogange au Snura mbona shidaaah?
Kwani shilole ndio nani?
Huyu dada si mzima lazima ni mgonjwa.Juzi kaweka picha ya khanga moko au hiyo wanae hajaiona?
Nadhani Shilole amepitia maisha ambayo ni magumu na ambayo ni kitendawili kwa mtu mwingine wa mazingira yale kuwaza kuja 'kutoka'.....
Kufika mpaka alipofika mpaka watu wakamuongelea hapa ni Safari ndefu kwake kwakweli....
Sina uhakika na music wake na sijaona ulazima wa yeye kucheza 'vile' kwenye stage lakin as the saying goes...Kazi Ni Kazi.....
Ila nina uhakika wa kitu kimoja..kama akisoma na akapata training bora basi atakuja kuwa muigizaji mzuri sana....(Refer to the BarMaid-Movie)
Anachohitaji sasa ni washauri wazuri ambao watamfanya awe mfano mzuri wa kuigwa...sababu kwa historia yake anaweza kuwa a good inspiration story kwa wadada zetu wa Uswahilini ambao hawana Hope yoyote.....