SHILOLE: Vamia vamia mwisho mnakua na jabali

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA!




Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole' kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata.

POZI TATA:
Ankar katika pozi.
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bwana'ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.

MAUNO:
Ankar akikata mauno.

"Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mchumba'ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake.

"Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote," kilisema chanzo hicho.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambapo alikuwa na haya ya kusema:

PIPI YA KIJITI:
Ankar akifyonza pipi ya kijiti.

"Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli," alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.



 
Haha pole yake..kujidai kote kule ana bwana wa kizungu ndo anaye mkaribishaga kwa shoo ulaya..kumbe bwabwa....au anataka afundishwe kukata mauno
 
Haha pole yake..kujidai kote kule ana bwana wa kizungu ndo anaye mkaribishaga kwa shoo ulaya..kumbe bwabwa....au anataka afundishwe kukata mauno

nauliza tena kiko wapiiiii? (msemo wa faiza foxy )
 
Last edited by a moderator:
Heeee kwahiyo njemba inakung'utwa duu noma, shilole kasema wao ni wapenzi sasa ina maana hawajawahi kukung'utana akagundua jamaa ni punga? Hahaaaaa shiloliiiiiii. Lkn pole mweee
 
Uuhhh wanamboost nae ndo anamuwashia moto shilole, teh pole zake.....
 
Shigongo mjanja sana kauza hbr 1 mara 2 maana mwanzoni kawadanganya bwana wake kaweka picha leo kaleta picha akiwa bwabwa na Shilole kakubali biashara kwisha wamegawna mapato dada zangu wa kazi za nyumbani wamepata cha kusoma.
 
Shigongo mjanja sana kauza hbr 1 mara 2 maana mwanzoni kawadanganya bwana wake kaweka picha leo kaleta picha akiwa bwabwa na Shilole kakubali biashara kwisha wamegawna mapato dada zangu wa kazi za nyumbani wamepata cha kusoma.

You are Brave...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…