Shilole: Vijana wajiandikishe BVR

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Kampeni kubwa ya ZamuYako2015 yenye lengo la kuhamashisha vijana kushiriki katika zoezi kujiandikisha kupiga kura, imeendelea kupamba moto ikiendelea kuungwa mkono na wasanii mbalimbali.

msanii wa miondoko ya bongofleva nchini Shilole

Safari hii mwanadada Shilole akiongea na vijana hususani wale kutoka Tabora kuwahamasisha kuwa wao ndio nguvu kazi ya taifa na wanapaswa kupiga kura.

Shilole katika ujumbe wake kwa vijana hao na wengine wote kutoka sehemu mbalimbali Tanzania amesema kuwa, huu ni wakati muafaka wa wao kuacha kulalamika, na kufahamu kuwa kiongozi yeyote yule wanayemuhitaji, njia pekee ya kumpatia nafasi ni kumpigia kura.



Chanzo:EATV
 
Huyu mpiga ubwabwa anamshauri nani? Mxxxxx eti wakajiandikishe bvr? Kujiandikisha bvr ndio nini kwanza? Kwendaaa
 
Mziki ushamshindaaaa makalio ndio mtaji kwake kuyatikisaa
 
Mpuuzi tuu, wwengi wa hawa wasanii wanajifanya wanajali sana ila wanachokiangalia ni michongo kipindi hichi cha kampeni, hatujawahi kuwasikia kuhusu katiba, hatujawasikia kwenye ESCROW, hatujawasikia kipindi hamna dawa wagonjwa wanakufa muhimbili, umalaya tuu
 
Kama hamjui mwenzenu yuko kwenye kampeni ya kura ya NDIO ya katiba ya Chenge wenyewe mnaiita katiba pendekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…