Shilole, wewe ndiye hovyo zero kabisa. Pierre Konki Liquid kuwa makini na usalama wako tena sana

Shilole, wewe ndiye hovyo zero kabisa. Pierre Konki Liquid kuwa makini na usalama wako tena sana

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Pole sana mzee wa liquid, wewe hauna madhara kwa mtu yoyote yule. Kila mtu anajua hauna shida na mtu maskini all you do is to make us laugh kumbe UMAARUFU wako kuna WARUGARUGA UNAWAUMA SANA haswa baada ya kununua gari wakati wengine walitumia hadi mabavu kuwasweka watu ndani kuwabambikia kesi na kuchukua mandinga yao.

Waliokuwa wanasema Pierre liquid issue ni kama ya Dr shika mtaamini sasa kwamba ni tofauti kabisa, Shika na wengine wanaotumikaga ku divert attention kwenye mambo mazito hawajawahi kuwa LAMBASTED na kamati ya roho mbaya sababu walikuwa kwa kazi maalumu.

Kwa aliyeangalia ugeni wa taifa stars majuzi ikulu pale makamu wa Rais alipomsifia konki liquid na kusema hakufurahia mambo ya Bashite ya ofa za pombe unaona kabisa kuna watu walinuna. Kesho yake le mtumboz akaandika makala kubwa ya le akilizi kubwa kumkandia Pierre na kumuita wa hovyohovyo maneno yaliyorudiwa jana na Bashite.

Cha kusikitisha Shilole naye kashiriki kumuita eti hana akili. Hata wewe mamaaaa uliyeshea mkuyenge wa yule msanii na binti yako mkubwa? Wewe unayedaiwa kubakwa front and back kwenye fiesta tour ukiwa umelewa chakari hadi ukajichafua UANI?

Piere kuwa makini tu, kamati ya roho mbaya ni hatari hiyo. Kwenye pombe ukienda chooni nenda na kinywaji chako kabisa na ukiona Noah nyeusi kimbia kimbiaaaa.

Kwenu nyie tena wakolomije, issue za watu kama kina Piere zipo dunia nzima, huwa hawadumu hao. Let him enjoy his moment jamani. Walishatokea akina githeri man wa Kenya au Hot Felon wa USA n.k

piere.PNG
 
Hii nchi Ndio ina watu wanaongoza kwa unafiki Na wivu wa kijinga!
Hivi kwa pumba hizo kulikua Kuna haja ya watu kumpigia makofi shilole na huyo makonda?

Mtu wa hovyo ni nani?
Halafu sidhani kama huyu Pierre alijipeleka hapo! Kwanini wamshambulie kiasi hicho na mtu amealikwa?
 
Shilole kumuita Konki mtu wa ovyo ni kichekesho cha mwaka, lakini Bashite kumuita Konki Liquid mtu wa ovyo ni kichekesho cha karne. Umesema mengi kuhusu Shilole lakini kwangu huyu mwanamke limbukeni tu aliyetokea kwenye uduni Kama sisi lakini akibuliwa na kudra za Mungu akawa maarufu bila sababu ya msingi lakini amesahau ghafla akidhani umaarufu wake una mchango wowote kwa Watanzania. Sidhani kama nasitahili kumuita kahaba maana sifa hiyo hana, huyu itoshe kusema ni "MDANGAJI" tu na kwa vile kudanga kunaendana na umri basi ndo hivyo tena.
Ila anayepaswa kumshangaa ni huyo mwingine anayeishi na kuneemeka kwa kutumia akili za watu wengine:-
1.Elimu aliyonayo ameipata kwa kutumia akili ya Daudi Makonda(halisi) siyo yake maana yeye hana akili ya kufaulu std VII au form 4.
2.Mali na maisha binafsi anayoishi anategemea akili ya Le Mutuz ambaye ndiye aliyemfundisha maisha ya Kigangstars wa kimarekani naye akatengeneza genge la kuteka watu na kulazimisha malipo ya fidia.
3.Cheo alichonacho si kwa akili yake bali ni kwa hisani ya aliyemteua kwa vile anafurahishwa na matendo ya ukatili ambayo Bashite anawatendea wakosoaji wa Mteuzi.
Maisha mzunguko lakini!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wamemnyamazia yake mengi anadhani wanamuogopa?alipigwa mtungo hatari kwenye fiesta huko singida,wazee walipiga front hadi mtaro kalewa ndiiiiii hadi kachafua mazingira ya uani na ile skendo ya kushea mkuyenge wa mziwanda na bintiye je?.usituchefue kabisa we dada. PIERE ATABAKI KILELENI.
 
watu wamemnyamazia yake mengi anadhani wanamuogopa?alipigwa mtungo hatari kwenye fiesta huko singida,wazee walipiga front hadi mtaro kalewa ndiiiiii hadi kachafua mazingira ya uani na ile skendo ya kushea mkuyenge wa mziwanda na bintiye je?.usituchefue kabisa we dada. PIERE ATABAKI KILELENI.
Duuh! Hatari sana.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
 
Hiiii....
Halafu makonda ana wivu wa kikikekike..ukimzidi kidogo tu unakua adui yake
watu wamemnyamazia yake mengi anadhani wanamuogopa?alipigwa mtungo hatari kwenye fiesta huko singida,wazee walipiga front hadi mtaro kalewa ndiiiiii hadi kachafua mazingira ya uani na ile skendo ya kushea mkuyenge wa mziwanda na bintiye je?.usituchefue kabisa we dada. PIERE ATABAKI KILELENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu Ni Vilaza Sana

Zile Kashfa zao kwa Pierre Ni kashfa kwa mwenyeji wa shughuli ile Mh.Jokate

Aliemualika Paul Makonda, Shilole ndio huyo huyo ndie alimualika Pierre , Pierre hakujileta kaalikwa kwa Kadi Kama wengine

Kushambulia watu wanaowapa Kiki Walevi maana yake Ni kushambulia aliemualika

Mie simpendi Pierre kwa kuwa sivutiwi Na aina ya sanaa yake lakin Najua Hata wale ambao Mie nawapenda Pia kuna watu hawawapendi

Kama umaarufu unatokana Na akili ya Mtu Au Maarifa ya Mtu Basi Makonda Na Shilole wasingekuwa maarufu


Chanzo ha Umaarufu wa Makonda Ni kumtwanga Makonde ya nguvu hadharan Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Warioba
Chanzo Cha Umaarufu wa Shilole Ni kukatika viuno vya kitandani hadharan halafu wanashangaa Mlevi Kuwa Maarufu
 
Nilishasemaga toka kitambo wabongo wameanza chuki kwa konki liquid.
Sasa hao wanawake wawili bashite na huyo "shishibebi " wao ni wana akili sana au?? Kama zipo basi bashite anazo kwenye washeri yake na mama zuwena!

Say yeeeeeeeeeeh!
 
piere ni comedian tu.. ambayo anatumia style ya ulevi... ila havunji sheria yoyote..

nimeshangaa anaemponda why anapata brand ambassador... sababu ni comedian na ana fans ...

piere anachekesha kuliko kina pili pili.. why watu tusimpende..

ni comedian tu aliechelewa kujua kama anaweza kuchekesha.. na njia ya ulevi ni style yake tu... kama dullvani anavyoigiza mama chogo.. au joti kujifanya mwanamke.

zamani kulikuwa na mwanamuziki nyimbo zote anaimba kama mlevi.. john walker anajiita
 
Back
Top Bottom