Shiloleeeee

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
▼
‹ › Home
View web version
Wednesday, August 14, 2013
Udaku Specially at 9:33 AM
SHILOLE ASHUSHIWA KIPIGO KISA MADENI...
Msanii nyota kwenye tasinia ya muziki na filamu bongo Zuwena
Mohamed “ Shilole” mwishoni mwa wiki iliyopita alionja joto ya jiwe
baada ya kutiwa mtu kati na wakina dada waliokuwa wanamdai kiasi
kikubwa cha pesa.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na mmoja wa wakina dada hao
(waliokuwa wanamdai zilisema kuwa wanawake hao waliamua kuchukua
hatua za kumtia adabu Shilole baada ya kupata taarifa kuwa siku hiyo
alikuwa ana hama kwa kukimbia na teni lao “ Ishu ilikuwa hivi sisi
tunamdai huyu dada lakini cha kushangaza amekuwa akitupiga chenga
sana na ona alivyokuwa sio mstaarabu kumbe siku hiyo alikuwa
anahama na deni letu ndio maana tuliamua kwenda kumzingua” Alisema
dada huyo aliomba jina lake lihifadhiwe.
Dada huyo aliendelea kufunguka mengi kuhusu sakata hilo “ Unajua sisi
tunafanya biashara zetu hivyo kuna siku Shillole alikuja na kusema
amekwama kipesa hivyo tumuazime pesa na tukafanya hivyo lakini cha
kushangaza mwezi wa sita huu hataki kurudisha na amekuwa
akitukwepa mara kwa mara hivyo majirani ndio wakatushtua kuwa
anataka kuhama kwa staili ya kutoroka na deni letu ndipo tulipoenda
wanawake wanne na kumshushia kipigo” Alisema dada huyo
Baada ya taarifa hizo Shilole alitafutwa kupita simu yake ya mkononi
pamoja na kupita kwenye makoloni yake hakuweza kupatikani
isipokuwa majirani mbalimbali walikili kutokea kwa tukio hilo la
kufedhehesha kwa msanii huyo.

SOURCE:UDAKUSPECIALLY
 
Muunganishe na Bishanga, amemaliza kuvuna kahawa recently atalipiwa!
Afu na yeye awe na huruma pia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…