Gemu ya leo masaa machache yaliyosalia ni fainali, lkn Simba wananafasi kubwa ya kufanya vyema.
Rekodi zinaonyesha Simba hawajapoteza mechi yoyote kwenye uwanja wa nyumbani! Dua na maombi tuyaelekeze kwa Simba ili tuweze kwenda hatua ya robo fainali!
Mungu ibariki Simba,
Mungu walaani As Vita, tuwarudishie tano zao!
Hivi nyie Simba ndio mna Mungu peke yenu?? Chezeni soka uwanjani.. kwanza mmezoea ndumba na figisu 🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]