trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
sawa ntafanya hivo kiangazi kwakua bado sijaanza kulitumiaUlitakiwa kulisakafia kabisa pembeni na cement kali na ile waterproof cement ila chini uweke tu zege
changamoto ni kipindi cha mvua inajaa mpaka juu kabisa hadi nimeshindwa kuhamia maana msimu huu limejaa top nasubiri mvua ziisheLiache ivo ivo. Maji ya shimo hujaa na kupungua kulingana na water table. Kwa matumizi ya kawaida, halitojaa hadi kufurika.
Hamna sewer line jirani?changamoto ni kipindi cha mvua inajaa mpaka juu kabisa hadi nimeshindwa kuhamia maana msimu huu limejaa top nasubiri mvua ziishe
hakunaHamna sewer line jirani?
Maana mbinu yoyote utayotumia baada ya miaka kadhaa litakutesa tu.
Wapi hiyo?changamoto ni kipindi cha mvua inajaa mpaka juu kabisa hadi nimeshindwa kuhamia maana msimu huu limejaa top nasubiri mvua ziishe
Hii njia naona kama inafaa lakini ni ngumu Kwa sababu humo humo chooni ndo bafuni tunakunya humo tunakoga na sabuni humo na kukojowa Hadi kufua humo, Sasa kutenganisha ili maji yatakayolinda wale wadudu wanaochakata kinyesi utatenganisha vipi? Ama labda uelewa wangu mdogo.Pole sana kwa tatizo hilo ardhi yako ina maji kuna njia mbili za kukimbia hilo tatizo ya kwanza uingie gharama kujenga mashimo mawili moja tayali umejenga shimo la kwanza septic tank lazima lisakafiwe kwa ndani lisi ruhusu maji kuingia tafuta fundi ujenzi anayejua akuelekeze ujenzi wake hili kazi yake ni kupokea kukimengenya kinyesi kupitia bakteria anarobic na arobic then kupelekea maji kuja juu na kuingia kwenye shimo hilo la duala ambalo una lalamika kujaa maji hapo utakuwa umedhibiti kutojaa kwa shimo lako la choo...
Njia ya pili japo si ya uhakika sana ni kutenganisha mifumo ya maji taka soil na waste..Waste ni maji ya bath jikoni yape mfumo wake na soil ni mkojo na kinyesi yape mfumo wake so (Two system) hii itasaidia kwa kiasi flani...
Kumbuka kuwa
Shimo la choo likiwa na maji basi kinyesi ni ngumu kumengenywa so kinyesi kinabaki kilivyo na choo kinajaaa haraka plus na maji
Pili chemical kama jiki na baadhi ya sabuni shampool zina ua bakteria wanao kula na kumengenya kinyesi so ina pelekea kufa..
Ni vizuri maji ya jikoni bafuni na basin kutenganishwa kulinda hawa bakteria na shimo lisijae haraka
Nadhani hiyo ni kwa wale wamejenga bafu tofauti na choo au choo cha kukaa na bafu humo humo hapo ni rahisi kutenganisha maji takaHii njia naona kama inafaa lakini ni ngumu Kwa sababu humo humo chooni ndo bafuni tunakunya humo tunakoga na sabuni humo na kukojowa Hadi kufua humo, Sasa kutenganisha ili maji yatakayolinda wale wadudu wanaochakata kinyesi utatenganisha vipi? Ama labda uelewa wangu mdogo.
Huo mfumo,hauna tofauti na choo cha shimo...Kama ardhi yako ina Tabia hiyo ya kujaa maji,huo mfumo hautosaidia kitu...hii ishu imenikuta hata mimi, yani mvua ikipiga sana lazima lijae mpk juu....... likipiga jua yanaanza kupungua......
ila kuna mtu kaniambia ninaweza kujenga mtaro mkubwa, napanga mawe then juu natoboa shimo ili kufanya maji yaje kwenye mtaro, then juu nafunika na karatasi nylon afu ndii nafukia.......
hii itasaidiamaji yakifika level flan yasiendelee kupanda yanakua yanaingia kwenye mtaro (huu mtaro upana unakua 1m na urefu walau mita 4-5, kimo ft 4)
Nishawahi kupost hii inshu..pitia post zangu ila kwa kifupi tu nduguNilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji.
Wataalam tusaidiane hapo nitumie njia gani?
NB: Chini halijapigwa zege limejengewa pembeni tu kwa mawe
Ulitakiwa kulisakafia kabisa pembeni na cement kali na ile waterproof cement ila chini uweke tu zege
Kama utazingatia ushauri huu sakafia na chini kote kusiwe na njia yoyote inayoruhusu maji kupita kusakafia kwenye kingo hakuyazuii maji kuingia yatapanda kutoka chini na still litajaa.sawa ntafanya hivo kiangazi kwakua bado sijaanza kulitumia
Huo mtaro unauelekezea wapi?hii ishu imenikuta hata mimi, yani mvua ikipiga sana lazima lijae mpk juu....... likipiga jua yanaanza kupungua......
ila kuna mtu kaniambia ninaweza kujenga mtaro mkubwa, napanga mawe then juu natoboa shimo ili kufanya maji yaje kwenye mtaro, then juu nafunika na karatasi nylon afu ndii nafukia.......
hii itasaidiamaji yakifika level flan yasiendelee kupanda yanakua yanaingia kwenye mtaro (huu mtaro upana unakua 1m na urefu walau mita 4-5, kimo ft 4)
Hapa sijakuelewa kabisaNishawahi kupost hii inshu..pitia post zangu ila kwa kifupi tu ndugu
Usiingie gharama kubwaaaaa,fanya hivi
Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako limwage maji kwa juu
Hapo hata mvua inyeshe vipi kaka shimo halitajaa(nimefanya hv kwangu na water table ipo juu sana) na tatizo likakata
Hujiulizi kwa nn vile visima vya zamani vya kuchimba hta mvua inyeshe vipi havijai maji mpk juu yakapitiliza na kumwagika?
It's nature...