lushotokwetu
Member
- Jul 29, 2015
- 6
- 11
Mpigie huyu Fundi +255786549131 atakusaidia sanaNilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji.
Wataalam tusaidiane hapo nitumie njia gani?
NB: Chini halijapigwa zege limejengewa pembeni tu kwa mawe
Kiswahili hapo kimekuwa kigumu aiseeHapa sijakuelewa kabisa
"Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako limwage maji kwa juu"
Bomba gani linalotoa maji ndani?
Hapo si itategemea msingi wa nyumba yake ulivyo? Kama nyumba iko chini sana sidhani kama itawezekana. I mean usawa wa nyumba ni lazima uwe juu kabisa kulinganisha na shimo. Au pengine sijakuelewa vizuri.Kiswahili hapo kimekuwa kigumu aisee
Nnachomaanisha...bomba linalotoa maji machafu ya chooni kutoka kwenye nyumba kwenda kwenye shimo la choo kwa kawaid huwa tunalichimbia chini..yani huwa inapita chini kwa chini hd kwenye shimo
Sasa shida ni kuwa kpnd cha mvua maji yakiwa mengi kwenye shimo yatapanda juu na yatalifikia hilo bomba jambo ambalo litasababisha maji yanayotoka ndani yashindwe kuingia kwenye shimo na kusababisha yarudi ndani..yaani uki flash maji hayataenda
Sasa nilichomaanisha ni kuwa hilo bomba usilichimbie chini..lipitishe juu then li SET limwage maji kwenye shimo kwa kupitia juu(kama shower ya bafuni inavyomwaga maji)
Kwa kufanya hvyo kwanza maji hayawez kurudi ndan hata mvua inyeshe vipi
SIJUI UMENIELEWA?
Wewe ni fundi halafu una lugha ya kibabe namna hii? Hii ni lugha ya wababe wa stendi kujaribu kuwatisha wakuja. Uliwahi kukutana naye ukamwambia umjengee akawa mbishi?Wapi hiyo?
Tukiwaambia tuwajengee mfumo usio jaa mnakuwa wabishi
DODOMA...Dodomaa OFFER YA MILLION 1Suluhisho lako ni mimi!
Nitakujengea Shimo lisilo jaa maji taka! ( Ukipenda tutaandikishana endapo litaleta shida niwajibike)
Gharama za Shimo kwa maeneo yenye unyevu kwa wakazi wa Dsm ni Tsh 1,400,000 na Mikoani nakufata kwa Tsh 1,600,000
Gharama za Shimo kwa maeneo makavu yasiyo na unyevu kwa Wakazi Wa Dsm ni Tsh 1,200,000 na mikoani nakufata kwa Tsh 1,400,000
Gharama hizi ni mjumuisho wa Gharama zote ufundi na material...Nakukabidhi shimo tayari kwa matumizi
0789005562
Safarini Dodoma
Njoo inboxNishawahi kupost hii inshu..pitia post zangu ila kwa kifupi tu ndugu
Usiingie gharama kubwaaaaa,fanya hivi
Bomba linalotoa maji ndani kupeleka kwenye shimo usilichimbie chini...lifanye limwage maji kwa juu ya shimo..yani kama vile maji ya bomba la mvua bafuni yanavyomwagika,sasa bomba lako limwage maji kwa juu
Hapo hata mvua inyeshe vipi kaka shimo halitajaa(nimefanya hv kwangu na water table ipo juu sana) na tatizo likakata
Hujiulizi kwa nn vile visima vya zamani vya kuchimba hta mvua inyeshe vipi havijai maji mpk juu yakapitiliza na kumwagika?
It's nature...