mtumishi wa wote
Member
- Sep 16, 2013
- 83
- 10
hongereni wakuu
ehuuuuuuuu!!!!!
Tutumie kwa displine
Pesa yenyewe shilingi ngapi?
usimfundishe mtu mzima jinsi ya kutumia
mkuu na ww upo sua kumbe huwa nakukubali sana kiongozi na siku zote naona kiongozi mkubwa ndani yako Mungu akulinde sana kaka na najua kuna siku utakuja kuongoza ndani ya Tanzania
Leo nakula kuku lazima!!
DUCE hatimaye kimesoma
mkuu mimi natafuta ban kwako mkuu kwa hizi siku chache ili nitulie nile vizuri hii ela...
unaitaftaje sasa!!
Pesa yenyewe shilingi ngapi?
oya DUCE kimeeleweka kweli au mikwala!