Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa nne asubuhi
Kiingilio kwa ps 3 ni 4,000 na mshindi atapewa 30,000
Kiingilio kwa ps 4 ni 7,000 na mshindi atapewa 50,000
Kwa mawasiliano 0763309632 au 0683614993