FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Binafsi huwa navutiwa na vitu vingi sana.., infact kwa wale wanaofikiri kujifunika kichwa ili nywele zisionekane ni kuzuia uzuri wako usionekane mnajidanganya, tena hapo mi ndio huwa navutiwa zaidi! Kuliko hata wale wanaojipigilia nguo fupi na za kubana, coz imeshakuwa kawaida sana cku hizi.., hakuna jipya! Anyway kura yako inaenda wapi,Far east au West?!
Weka '1' kama ni east, na '2' kama ni west. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
1.) EAST.
=======================================================================================
2.) WEST
======================================================================================
MATOKEO SO FAR: EAST (1) - (0) WEST
Upigaji kura kufungwa 2200 hrs EAT. Zawadi nono kutolewa.