Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

Shindano letu limefikia tamati, washindi wamepatikana na waliokidhi vigezo wamepokea zawadi zao.

Wengine wamejishindia lakini hawakutuma namba zao, wengine wametuma namba zisizotumika…. wengine, wengine, wengine.

Asanteni kwa ushirikiano, hadi wakati mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…