Shindano la Logo mpya ya TARURA limeishia wapi?

Shindano la Logo mpya ya TARURA limeishia wapi?

Lissu jr94

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
53
Reaction score
45
Habari wana JF

Naomba kuwauliza, hivi TARURA walitoaga shindano la kutengeneza logo yao, je walishapata mshindi na je imeshaanza kutumika logo mpya kwa anaejua?
 
Zilipigwa juu juu tu kama alitangazwa mshindi maana hakukuwa na amsha amsha ya kumtangaza mshindi kama wlaivyokuwa wakitangaza shindano.

Milioni 5 zile kweli zitoke hivi hivi wakati watu wa kitengo hicho unakuta wanachukua mshahara 800K kwa mwezi? ,,😂😂

Welcome to Tz,
 
Mshindi alikuwepo kabla tangazo halijawekwa public
 
Au wameipenda moja ya mtu hapo na mwisho wa siku wakaibeba bila ya kutangaza?
 
Back
Top Bottom