Shindano la Logo mpya ya TARURA limeishia wapi?

Lissu jr94

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
53
Reaction score
45
Habari wana JF

Naomba kuwauliza, hivi TARURA walitoaga shindano la kutengeneza logo yao, je walishapata mshindi na je imeshaanza kutumika logo mpya kwa anaejua?
 
Zilipigwa juu juu tu kama alitangazwa mshindi maana hakukuwa na amsha amsha ya kumtangaza mshindi kama wlaivyokuwa wakitangaza shindano.

Milioni 5 zile kweli zitoke hivi hivi wakati watu wa kitengo hicho unakuta wanachukua mshahara 800K kwa mwezi? ,,😂😂

Welcome to Tz,
 
Mshindi alikuwepo kabla tangazo halijawekwa public
 
Habari wana jf...naomba kuwauliza, hivi TARURA walitoaga shindano la kutengeneza logo yao, je walishapata mshindi na je imeshaanza kutumika logo mpya kwa anaejua?
Vipi mkuu, uli 'past pet'?
 
Au wameipenda moja ya mtu hapo na mwisho wa siku wakaibeba bila ya kutangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…