kutokana na club ya Arsenal kila mwaka kuwa washiriki kwenye EPL, na kutumia muda mwingi kuuza sura kwenye social media, nadhani huu ni muda muafaka kwa wabunifu kuanzisha shindano la selfie mitaoni, na uhakika 90% wachezaji wa arsenal watatwaa ubingwa