Saidyahyasultan
Member
- Dec 2, 2012
- 67
- 21
Habar zenu jaman naomba mnisaidie mwenzenu napata shida sana hasa pale nnapo tumia chakula mfano nyama ya ng'ombe au ya kuku nakua navimba shingo kupinda kwa tabu, mda mwengine nahic kama kuna misuli inalia lia saut flan hiv ndani ya shingo,
Nilikwend spital doct kasema ni allergy, lakushangaza dawa nimekula lakn tatizo bado.
Naomben msaada hata kwa thaman yoyt ile mm nipo tayar.
Nashkur sana
Nilikwend spital doct kasema ni allergy, lakushangaza dawa nimekula lakn tatizo bado.
Naomben msaada hata kwa thaman yoyt ile mm nipo tayar.
Nashkur sana