Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Jan 6, 2017 #1 Mtu mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Shinyalu, kaunti ya Kakamega. Raphael Amboso mwenye umri wa miaka arobaini aliivamia familia yake kwa upanga jana jioni na kumuua babake kabla ya kujeruhi watu wengine sita.
Mtu mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Shinyalu, kaunti ya Kakamega. Raphael Amboso mwenye umri wa miaka arobaini aliivamia familia yake kwa upanga jana jioni na kumuua babake kabla ya kujeruhi watu wengine sita.
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,377 Jan 8, 2017 #3 Bangi hizo! Poleni sana wanafamilia na majirani wa marehemu.