Shinyanga Bicycle Festival 2025

Shinyanga Bicycle Festival 2025

Shinyanga hatujaachwa nyuma na Matamasha. Arusha jipangeni
hadi bashite ahamishiwe kule ndo ataweza. mtu mwingine akitaka kufanya hiyo event bashita atafanya figisu tu ili asiwepo mwingine wa kufanikiwa afanane naye. mark my words.
 
Kwani kuna ubaya gani, kuleta contena 50 hata 100 za kitu chochote halali kwa madhumuni yoyote, as long as mzigo huo umelipiwa kodi husika na stahiki, na kwa taarifa tuu, hata zawadi au msaada lazima ulipiwe kodi stahiki。
P
Kulipia kodi kitu kinachoenda kutumika kama rushwa ni sawa na ikawa sawa basi hata wale jamaa wanaolima mmea kule tarime walipie kodi ili wawe huru kwenye mazao yao ktk kulima hadi kuuza.

Kikubwa kodi tu.
 
Paschal mmeanza kuhalalisha Rushwa wazi wazi tunakoelekea siyo kuzuri.
 
Kulipia kodi kitu kinachoenda kutumika kama rushwa ni sawa na ikawa sawa basi hata wale jamaa wanaolima mmea kule tarime walipie kodi ili wawe huru kwenye mazao yao ktk kulima hadi kuuza.

Kikubwa kodi tu.
Nasisitiza hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuleta makontena ya bidhaa zozote halali kwa matumizi yoyote, as long as bidhaa hizo zimelipiwa kodi stahiki。Ule mmea kwa Tanzania sio bidhaa halali。
Hoja ya rushwa ni presumptuous,hakuna ubaya wowote kwa chama chochote cha siasa kuwagawia bure vifaa vya logistical support kama, baiskeli,pikipiki, bajaj na magari kwa wanachama wake, hiyo sio rushwa ni logistical support。
P
 
Back
Top Bottom