TANZIA Shinyanga: David Nkulila (Meya), Diwani wa Kata ya Ndembezi afariki Dunia

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
TANZIA: MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA AFARIKI DUNIA.

Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila(CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Agosti 23,2021 saa 11 alfajiri wakati akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Msiba upo nyumbani kwake mtaa wa Mabambasi kata ya Ndembezi jirani na Kanisa la Moravian

R.I.P Nkulila

Chanzo cha habari ni Kahama FM
 
Wezi wa kura wanapukutika mdogo mdogo kudadadeq
 
Kwa uchafuzi 2020; wacha masibu yawakute, kwa kishindo kilekile walichojipangia
 
Rip David.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…