bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Hii imetokea Kijiji Cha DIDIA wilaya ya SHINYANGA DC ambapo ni SIKU ya Tano tangu ilipotokea dharura ya kugongwa na gari nyaya za umeme zinazokatisha barabarani.
Kutokana na CHANGAMOTO hiyo tangu tarehe 3/5/2024 hadi 7/5/2024 bado umeme haujaunganishwa KATIKA nyumba hiyo na zaidi wametoa masharti kwamba wapangaji wafyeke mti uliokaribu na nyumba hiyo Ili nyaya zipande juu zaidi na wametekeleza lakini hadi Sasa hawajarudisha umeme wakitaka RUSHWA.