PreGE2025 Shinyanga: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election Katika Kijiji cha Mwakitolyo, Jimbo la Solwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kabla ya yote Baba Askofu Mwamakula akishirikiana na Mashehe wa Shinyanga(Siyo BAKWATA) akiomba Dua Kabambe ili kuondoa nuksi



Baada ya Kumtanguliza Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi, kazi ya kufundisha Wananchi ikaanza



Kwa Kauli moja wananchi wamekubaliana na Hoja zote za Chadema
 
Nyie hapa ni Wasukuma, uongo kweli? KWEEELIII. Hamna maendeleo uongo kweli? KWEEELIII. Kunja ngumi kunja ngumi pipoooozzzz!! Mnataka
 
Polisi wengi wameridhishwa na namna Kikokotoo kilivyochambuliwa
 
Na mimi nilikuwepo ila sio mwanachadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…