PreGE2025 Shinyanga: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election Katika Kijiji cha Mwakitolyo, Jimbo la Solwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimemsikia mtu mmoja aliekua kiongonzi wa mkoa ,Madonga ,povu jingi point hamna , Chaedema ibarikiwe sana , watu wamepata majina ,fahamika leo kupitia chadema, jifunzeni kwa Mzee lowasa ,kuna kesho.

Naunga mkono wa Godbless lema , kama ulikua chadema saka vyeo , kaa pembeni, cheo cha usaliti ulicho pata ni kikubwa sana ,pumbavu zao
 
Mimi nahoji tu kama kweli hicho ni "kijiji", au unamaana ya mji wa wlaya?

Hata hivyo siyo neno, hizi ni dalili za baraka kubwa kwa nchi yetu.
 
Na mimi nilikuwepo ila sio mwanachadema
Maajabu ndiyo hayo; na unaweza kusema umepatwa na muujiza. Taratibu tutaanza kuona ukibadilika rangi humu humu JF. Ni swala la muda tu.

Itakapo kuwa hivyo, usione aibu; tembea na kifua mbele kwa maana umesalimika.
 
Maajabu ndiyo hayo; na unaweza kusema umepatwa na muujiza. Taratibu tutaanza kuona ukibadilika rangi humu humu JF. Ni swala la muda tu.

Itakapo kuwa hivyo, usione aibu; tembea na kifua mbele kwa maana umesalimika.
The meaning is... Ukiona watu mahali sio kwamba wanakuunga mkono
 
Sasa hao ni watu wangapi, we zombie utahangaika kukuza picha bahati mbaya ht we mwenyewe hujielewi unafanya nini. Uchaguzi mmeshakimbia hiyo idadi itawasaidia nini. Zero brain. Subiri mazishi ya hilo lichama lako
 

Kama hii

View: https://youtu.be/UEamAMDrF4I?si=Yq2wYyM-4UOmXDsG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…