M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Makonda anastahili honorary doctorateViongozi sio wabunifu,kama makonda
Okay Komredi MakondaWaweke electric festival bikes su baiskeli ambazo hazitumii misuli sana kuendesha na speed iwe kubwa. Wabunifu wote wapewe zawadi ya pesa na wazo lao kuendelezwa.
Maendeleo yote unayapinga kisa upo upinzani. Hata ukiongezewa utalii, ajira, kipato, biashara haki yako utapinga. Inapidi ujipange, uwe unapinga sehemu fulani zinazobidi kupinngwa.Okay Komredi Makonda
Vyeti fekiMakonda anastahili honorary doctorate
ShyBicycle Festival