Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Huyu ndo lile jamaa lilisema serikali imetenga milioni 500 kujenga barabara nchi nzima?P. Katambi; mbunge wa Shinyanga mjini leo 18/07/2021. Alitembelea mnada ng'ombe wa old shy. Sikuona dhumuni la kuzuru hapo mnadani, zaidi ya kuwanunulia soda baadhi ya mwanachi hapo mnadani. Na huku wakimfulahia bila kujua changamoto zinazowakabili.
View attachment 1858452View attachment 1858454View attachment 1858455
Hizi hapa mkuu kura zake huyo ndugu yako Katambi! Kumbe nilikuwa nimempendelea hata kwenye idadi ya kuraππππππ5 na 12 nani mkweli
Akiitisha mkutano wa hadhara wananchi wanatoka?Hizi hapa mkuu kura zake huyo ndugu yako Katambi! Kumbe nilikuwa nimempendelea hata kwenye idadi ya kuraππππππ
1.Stephen Julius Masele - kura 152
2.Jonathan Manyama Ifunda - kura 65
3.Gasper Kileo - kura 51
4.Erasto Kwilasa amepata kura 31
5. Mayunga Stanley Otto kura 20
6. Seni Abdallah Jacobo kura 17,
7. Patrobas Katambi amepata kura kura 12,
8.Busumabu Daudi kura 11
9.Mapesa Marco kura 8
10.Alex Peter -5
11. Singu Andrew Stephen- 5
12.Makune Soso - 5
Mikutano yake utafikri kaitisha mwenyekiti wa mtaani kwangu!Akiitisha mkutano wa hadhara wananchi wanatoka?
Ndani ya CCM kulikuwa na wizi,kumbe nje ya ccm ilikuwa chukua weka waaaaa