Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

Afungwe tu alishindwa kaa chini na mkewe wakaweka mambo sawa, ila mapenzi haya hayazoeleki
Unawekaje mambo sawa na msaliti ndugu? Kuna watu wanafanya umalaya bila kujali mioyo ya wenza wao...wakatwe tu mapanga hakuna namna
 
Unawekaje mambo sawa na msaliti ndugu? Kuna watu wanafanya umalaya bila kujali mioyo ya wenza wao...wakatwe tu mapanga hakuna namna
... ni ujinga kumuua mkeo/mumeo kwa sababu ya kinachoitwa usaliti kwenye ndoa! Achaneni kwa amani kila mtu aendelee na maisha yake. Ya nini kuharibiana maisha kuozea jela?
 
Kitendo cha kuingia kwenye ndoa, ina maana unakaribia kupata kifungo cha maisha gerezani

Mimi sipendi kujiingiza kwenye vitu vya hatari kama hivyo
, Kama utamu na utelezi umejaa mtaani
Jaribu kuchukua make was mtu utajuta sana
 
Sasa mtu kama huyu ndio anakufumania live siju kitatokea nini,ila wake za watu na nyinyi tulieni majumbani mwenu...
 
Yan huku Dunian kuna watu n vichaa lakin hawajitambui kuwa n vichaa
 
Mtu mjinga anaweza kufikiri kuwa tatizo hapo ni mapenzi wakati tatizo ni tozo.
 
Wanawake tungekua na roho za kuwaua tukiwafumania magereza yangejaa
 
Eti atafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika. Mtuhumiwa kaua mbele ya balozi, akajipeleka mwenyewe Polisi kuwaambia nimeua, sasa upelelezi gani wanautaka?

Maiti ipo, panga lipo, balozi yupo, mtuhumiwa yupo!

Polisi bhana!
Sheria inawataka kujijakikishia pasi na shaka kwamba hayo ndo yaliyotokea.
 
...ila wakiona polisi walioshuhudia tukio...! POLISI WANASHUHUDIAJE TUKIO?
 
Kesi ni process mkuu lazima watafutwe mashahidi zaidi ya mmoja aliyeshuhudia tukioa sio kuambiwa, Polisi walienda baada ya mtuhumiwa kujipeleka so lazima wajiridhishe watachoiambia mahakama, na ushahidi wao usiache shaka.
Aaa bana mapolisi nao waache ujinga, sasa panga, mashahidi, maiti, mtuhumiwa, vyote vipo wanakwama wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…