Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

Daah, anyway, maisha hayana formula.
 
Hai apply kama mtuhumiwa mwenyewe ame confess. Kama angekuwa anayakana mashtaka basi ndio inahitaji ushahidi ili kumpata na makosa. Kama ame confess mwenyewe ushahidi wa nini sasa?
Kukiri kosa ndo kutenda kosa? what if huyo jamaa alitumwa na mtu amuue huyo mke baada ya kuwa na Siri nzito juu ya Jambo fulani.?

Hata Kama mtu makiri kosa lazima uchunguzi ufanyike mkuu!!
 
Watu wa mikoani wapo serious sana

Kuna yule boya alimpiga faini mtu kisa uroda yaani ni matakataka

Sijui mavyakula wanayokula yanawapunguzia akili kisha yanawaongezea nyege
Aliyemchoma mpenziwe moto kwenye nyumba alikuwa wa mkoani?
 
Wasukuma wanaoana wakiwa watoto kabisa miaka 15. Mpaka hao wanafikisha miaka 53 na 45 ina maana wana zaidi ya miaka 30 ya ndoa bado tu wanakuwa na wivu wa kifamba hivyo?
Kwa uzoefu wangu hawa unaweza kuta ndoa yao ina miaka3 jamaa wanaoana hovyo hovyo sana hawa
 
Wanaumme wajifunze kuvumilia, mbona wake zao wanavumilia!! Mwanamme anaweza kwa na kimada, na watoto, na kila mtu anajua, mke anamvumilia na kuendelea na ndoa .
Ndo maana wanakufa haraka maana wanajaza mizigo mingi vichwani mwao,na stress kibao
 
Ila hizo kesi mikoa hiyo ni kama zimekithiri ni kwamba wenzetu wa pande hizo ndo wanawivu sana na roho ngumu hivo!
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Eti atafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika. Mtuhumiwa kaua mbele ya balozi, akajipeleka mwenyewe Polisi kuwaambia nimeua, sasa upelelezi gani wanautaka?

Maiti ipo, panga lipo, balozi yupo, mtuhumiwa yupo!

Polisi bhana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Waafrika na wahindi kwa ukatili/mauwaji hawatofautiani sana. Kidoooogo wahindi wanauafazali ingawa wengiwao wana roho mbaya na wabaguzi.
Europeans and Americans pia ni makatili, wao vyombo vyao vya habari na social medias huwa havihubiri sana uovu wao.
 
Europeans and Americans pia ni makatili, wao vyombo vyao vya habari na social medias huwa havihubiri sana uovu wao.

Wayahudi+Europe na america. Wameshauwa mamilioni ya innocent people
 
Watu wa mikoani wapo serious sana

Kuna yule boya alimpiga faini mtu kisa uroda yaani ni matakataka

Sijui mavyakula wanayokula yanawapunguzia akili kisha yanawaongezea nyege
😀😀😀😀equation haibalance ...........jamaaa wapo sensitive sana
 
WANAUME NAWAITA TENA
Msioe jamani kuoa ni kuchagua Kufa,Kuwa chizi au kwenda Jela..... Shauri zenu.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…