Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

Wanawake wakorofi na wababe sio kwamba awawapendi waume zao wanawapenda Sana waume zao na ni waaminifu Sana kwenye ndoa,shida ni ile roho ya ukorofi iliyo ndani yao ndo inatenda kazi.
Mwanadamu ni roho.Roho ndio utenda kazi
 
Pia kuthibitisha kama muuaji ana akili timamu
Kesi ni process mkuu lazima watafutwe mashahidi zaidi ya mmoja aliyeshuhudia tukioa sio kuambiwa, Polisi walienda baada ya mtuhumiwa kujipeleka so lazima wajiridhishe watachoiambia mahakama, na ushahidi wao usiache shaka.
 
Ushauri wa kamanda ni mzuri. Ukiona mwenzako siyo mwaminifu ni bora muachane kuliko kumuua mtoto wa watu kwasababu huyo hakuumbiwa wewe tu ni mali ya umma
 
Kuna wanaume wana wivu hata kwa kopo la chooni analotumia mkewe.

Tupunguze wivu jamani.

Mapenzi ni hiyari ya mtu,
Kama hakutaki wachana nae.

Maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…