Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko Bulyanhulu mkoani Shinyanga!
Its clear that CCM iko kwenye panic mode. Sijui wanaogopa nini.
Tlaatlaah ChoiceVariable njooni muone chama chenu huku!