kwahiyo kijana wa miaka 16 amepigwa na maswali mazito na chadema right? Je, sio udhalilishaji wa watoto kisaikolojia huo?Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko Bulyanhulu mkoani Shinyanga!
Its clear that CCM iko kwenye panic mode. Sijui wanaogopa nini.
Tlaatlaah ChoiceVariable njooni muone chama chenu huku!
View attachment 3126473
Sio kwa kuhoji kwa kudhalilisha mtu akihoji ahoji kwa adabu sio kuhoji kama yeye polisi ahojiwe mtuhumiwa polisiKesi gani? Kuhoji umri wa mtu ambaye anatakiwa kujiandikisha kama una mashaka ni kosa?
Uko serious mkuu?
kwanza unapotosha,Watoto wanafanya nini kwenye kituo cha kujiandikisha kupiga kura?
Tuanzie hapo
Mkuu, Kiongozi ameamua kukiuka kanuni zakekwahiyo kijana wa miaka 16 amepigwa na maswali mazito na chadema right? Je, sio udhalilishaji wa watoto kisaikolojia huo?
na kwa vile kahojiwa na wakala wa chadema ndio imethibitika ana miaka 16 right? vitu gani zaidi vya uthibitisho ambavyo chadema wamekusanya dhidi ya mtoto huyo?
na je,
nikisema alietengeneza hiyo script ya upotoshaji kuna mahali amekosea kidogo, ntakua namuonea?🐒