Wakishamaliza masomo na ikadhibitika bila kuacha shaka kwamba wameshatimiza umri wa miaka kumi na nane na wakati huo huo wakiwa na utayari wa mwili na akili wanaweza kupewa kibali mapenzi ya muda mfupi kwa maana ya hit and run,cha muda wa kati hadi uchumba na kama ikiwapendeza wanaweza kuomba kifungo cha maisha pamoja kwenye ndoa!