Shinyanga secondary a.k.a shy-bush kuna nini?

Shinyanga secondary a.k.a shy-bush kuna nini?

nimesoma shybush 2007-A LEVAL,mazingira yake yalikuwa mazuri sana na walimu haikuwa tatizo kwani walikuwa wa kutosha kwa sasa siwezi kujua kwa undani lakini ni shule nzuri kwa sayansi
 
majanga kama unauwezo wakuhama uko fanya harakaaa..
 
Back
Top Bottom