M Mwasi Sospeter Member Joined Feb 18, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jul 24, 2013 #1 Kuna nin shy bush...kuhusu walimu na mazingira pia?
Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 808 Reaction score 878 Jul 25, 2013 #2 nimesoma shybush 2007-A LEVAL,mazingira yake yalikuwa mazuri sana na walimu haikuwa tatizo kwani walikuwa wa kutosha kwa sasa siwezi kujua kwa undani lakini ni shule nzuri kwa sayansi
nimesoma shybush 2007-A LEVAL,mazingira yake yalikuwa mazuri sana na walimu haikuwa tatizo kwani walikuwa wa kutosha kwa sasa siwezi kujua kwa undani lakini ni shule nzuri kwa sayansi
Mshikawezi Mwizi JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 751 Reaction score 375 Jul 26, 2013 #3 kuna walimu, vitabu, majengo, maktaba, wanafunzi na maabara
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,450 Reaction score 921 Jul 26, 2013 #4 Kuna rafiki yangu ni mfamasia sasa hivi,alimaliza advance hapo,,
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Jul 26, 2013 #5 Yuko mrundi mmoja anaitwa Prudence ni mpenda pesa!
Kapax JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 215 Reaction score 21 Jul 27, 2013 #6 majanga kama unauwezo wakuhama uko fanya harakaaa..