Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

Sawa wakili msomi umeeleweka
 
Mrufani kaupiga mwingi na mtoto wa mtu ameliwa, inaumiza sana hii kwa wazazi wa mtoto na mtoto mwenyewe kama tukio ni la kweli.
Kama mrufani alisingiziwa hongera yake kwa kuepuka miaka 30 jela sio mchezo.
Huyu jamaa mtaani atakuwa na hatari sana! Wanaukoo wanaweza kumgawana! Atakuwa na wakati mgumu sana!
 
Aise! inaonekana wew ni mtaalamu wa mambo hayo ya matundu
....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Mtake radhi Mkuu Mwenzio !! [emoji23][emoji23]
 
Aisee..huyo mrufani inabidi apate watu wakumuweka sawa kisaikolojia kwani anaweza kuwa amekijaza kichwa chake visasi
Hamna ukitoka Jela akili ya kisasi unaitoa wapi? muda uliokaa huko ramani imepotea....lazima ujipange upya
 
Hilo tundu lakuweza kupitisha kitu chochote bado nalifikiria ukubwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…