Elections 2010 Shinyanga tume yasuasua kutangaza matokeo ya majimbo

Elections 2010 Shinyanga tume yasuasua kutangaza matokeo ya majimbo

PEDE

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
30
Reaction score
0
Nashanga kwanini matoikeo ya majimbo mengi ya mkoa wa Shinyanga yamechelewa kutangazwa.Na majimbo yenye nguvu kubwa ya upinzani-CHADEMA hayatangazwi kwa muda mpaka watu wachome moto majengo au kuandamana ndipo yanatangazwa.
 
Matokeo mwaka huu hayatangazwi mbaka watu wafanye fujo!!msipofanya fujo CCM wanachakachua!!
 
Tume hovyo sana, wanadai wanawajibika kumbe wanatuibia wananchi, jamani kuweni imara huko majimboni hizo pipi mnazoahidiwa zitawahukumu baadae kama mtazikubali.
 
Back
Top Bottom