P PEDE Member Joined Nov 2, 2010 Posts 30 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 Nashanga kwanini matoikeo ya majimbo mengi ya mkoa wa Shinyanga yamechelewa kutangazwa.Na majimbo yenye nguvu kubwa ya upinzani-CHADEMA hayatangazwi kwa muda mpaka watu wachome moto majengo au kuandamana ndipo yanatangazwa.
Nashanga kwanini matoikeo ya majimbo mengi ya mkoa wa Shinyanga yamechelewa kutangazwa.Na majimbo yenye nguvu kubwa ya upinzani-CHADEMA hayatangazwi kwa muda mpaka watu wachome moto majengo au kuandamana ndipo yanatangazwa.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Nov 2, 2010 #2 Matokeo mwaka huu hayatangazwi mbaka watu wafanye fujo!!msipofanya fujo CCM wanachakachua!!
marshal JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 353 Reaction score 159 Nov 2, 2010 #3 SIna imani na tume!
DICTATOR JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 391 Reaction score 4 Nov 2, 2010 #4 Tume hovyo sana, wanadai wanawajibika kumbe wanatuibia wananchi, jamani kuweni imara huko majimboni hizo pipi mnazoahidiwa zitawahukumu baadae kama mtazikubali.
Tume hovyo sana, wanadai wanawajibika kumbe wanatuibia wananchi, jamani kuweni imara huko majimboni hizo pipi mnazoahidiwa zitawahukumu baadae kama mtazikubali.