Shirika Ka Viwango Tanzania TBs Limewataka Wananchi kuachana Na Powder ya Johnson

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani.

Katika taarifa yao iliyotolewa na TBS imeeleza kuwa katika ukaguzi uliofanywa katika maduka mbalimbali nchini imejiridhisha kuwa bidhaa hiyo ya Johnson’s Baby Powder haikuingia nchini wala katika soko.

#poda #saratani #madini #bidhaa #onyo #tbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…