Shirika la Afya Duniani (WHO): Tanzania hakuna Ebola

sasa na wagonjwa walio athirika na kusadikika wapo mahospitalini nini zaidi kinacho wasumbua
 
Bongo kwa connections

Hata ebola unaweza usipate kama huna connection
Ebola ni gonjwa la kutupiwa tu,kama wanakuchukia wanakutupia.Wamarekani bwana,wanafiki sana,halafu eti wanashirikiana na serikali yaTanzania kudhibiti Ebola.Wametengeneza dudu,halafu eti wanajifanya wanalidhibiti,ovyoo....
 
Hivi kwanini walikua wanashinikiza tuamini kuna Ebola nchini?

Mkuu hapo walikuwa wanatengeneza Demand ili watu wauze vipimo na vifaa vingine vya kutibu, so Dili limebuma hapo
 
Hili lilipita na sasa corona mambo yaleyale.
 
Kwani ebola ni ishu tena sasa hivi? Mbona mnahamisha ajenda ya muhimu? COVID-19!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…