Shirika la Bahati Nasibu la Taifa lifufuliwe Ili kuwawezesha Vijana kupata mitaji kwa njia ya Mseleleko!

Shirika la Bahati Nasibu la Taifa lifufuliwe Ili kuwawezesha Vijana kupata mitaji kwa njia ya Mseleleko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nadhani Hali ya Uchumi kwa Vijana imekuwa ngumu sana

Napendekeza Shirika la Bahati Nasibu la Taifa lifufuliwe lilikuwaga Morogoro road jirani na makao Makuu ya UVCCM

Pili atafutwe mrithi wa Sheikh Yahya Ili Vijana wasome Nyota Zao kila asubuhi

Kiukweli kuelekea uchaguzi mkuu imedhihirika Vijana Wana Hali Ngumu sana ya Kiuchumi

Ahsanteni sana 😄
 
Back
Top Bottom