Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao.
http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/