R Richardbr Senior Member Joined May 29, 2011 Posts 110 Reaction score 25 Aug 7, 2014 #1 Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao. http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao. http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Aug 7, 2014 #2 epuka matapeli oooooh
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Aug 7, 2014 #3 Ulizia Serikali za mtaa kama wanatambulika. kama kuna number zao basi peleka polisi upesssss