WIZI MTUPU kwa mtaji huu akina pangu pakavu tia mchuzi wenzangu ilipofikia hii nchi na haya mashirika yanayopumulia mashine something has to be done huu ni UJINGA MTUPU.
MISHAHARA hawa wana mishahara au posho tu. huenda hizo buku 20 ndio zitakazoanzia ili wapewe watakaopita kama wafanyakazi wapya kama mshahara but hili shirika was dead long time ago aliyelifufua.....haya yasije yakawa ya akina bab J
VIJANA KUMBUKENI DECI may be this is another pocket company like the rest zilizopita trying to stand while dead. bcoz am quite sure dead people dnt talk so are companies like this.